![]() |
|
Hii ndio adha ya usafiri iliyopo kwa sasa Usinge,Tabora kuelekea mkoani Kigoma, abiria
wanalazimika kutembea kwa miguu kilometa za kutosha wakiwa na watoto pamoja na
mizigo yao kuyafuata magari yalipokomea. Msaada wa dharura unahitajika.

Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment