Leo December 3 Ni siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Duniani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 03, 2017

Leo December 3 Ni siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Duniani.

Leo December 3, 2017,ni Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Duniani na ambapo Kitaifa  siku hii inaadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ni mgeni rasmi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Samia Suluhu Hassan  akipata maelezo kutoka kwa kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi  kinachojishughulisha na kutengeneza viatu wakati alipotembelea maonyesho ya walemavu katika uwanja wa Skuli ya Uzini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Samia Suluhu Hassan  akifafanua jambo kwa kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi
kinachojishughulisha na kutengeneza viatu wakati alipotembelea maonyesho
ya walemavu katika uwanja wa Skuli ya Uzini.


Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Duniani na ambapo Kitaifa
siku hii inaadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano ni mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad