
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja
na viongozi hao mara baada ya ufunguzi wa rasmi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba
mkoani Kagera.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi,
Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya ufunguzi.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja
na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,
Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald kuashiria ufunguzi wa wa rasmi wa Uwanja
wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana
mikono na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wanne
kutoka kushoto waliokaa pamoja na viongozi wengine mara baada ya kukagua chumba
cha abiria uwanjani hapo.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mke wake Mama Janeth
Magufuli watatu kutoka kulia wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wabunge, viongozi wa Serikali pamoja na Viongozi wa Dini mara baada ya ufunguzi wa uwanja huo wa
Ndege.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
kumshukuru Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya shughuli za
ufunguzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba.
|
![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya
ufunguzi huo wa uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
|
![]() |
|
Wananchi
wakishangilia wakati wa Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba.
PICHA NA IKULU
|















No comments:
Post a Comment