|
Ajali hii
imetokea leo October 30,2017 majira ya jioni
eneo la njia panda ya Rulenge
wilayani Ngara mkoani Kagera ambapo gari hili mali ya Shirika la Tanesco Ngara namba SU 38141 limepata ajali
na kujeruhi watu waliokuwemo ambao wamekimbizwa hospitali ya Nyamiaga kwa
matibabu zaidi.
Habari toka
eneo la tukio zinaeleza kuwa hakuna kifo
na chanzo cha ajali hiyo ni Utelezi uliosababishwa na kunyesha kwa mvua katika
eneo hilo.
Habari zaidi
tutakuletea zaidi hapa.
|
No comments:
Post a Comment