Chanzo cha Daladala Kutumbukia Ziwa Victoria Jana October 9,2017-Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 10, 2017

Chanzo cha Daladala Kutumbukia Ziwa Victoria Jana October 9,2017-Mwanza.

Watu 12 wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya daladala waliyokuwa wakisafiria, kutumbukia katika fukwe za Ziwa Victoria katika eneo la Kingo Feri wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.

  Ajali hiyo imetokea Jana October 9, 2017 majira ya saa tano asubuhi baada ya daladala hiyo yenye nambari za usajili T.229 DDW Toyota Hiace iliyokuwa ikitokea Buhongwa Jijini Mwanza kwenda kivukoni hapo kudaiwa kukatika breki ikiwa kwenye mwendo kasi.

BOFYA KITUFE CHA PLAY KUTAZAMA TUKIO HILO ZAIDI HAPA CHINI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad