
![]() |
|
“Tumesikia kelele kutoka kwa watu waliokuwa nje tukaona dereva
kasimamisha basi muda si mrefu moshi ulianza kutoka mara moto ukalipuka”amesema
Bahati Mussa abiria wa basi hilo.
Kamanda Wakulyamba amesema basi hilo ambalo
lilikuwa likiendeshwa na Hemed Ali
(35) lilikuwa na abiria 29 ambapo hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.
“Hakuna aliyejeuhiwa
wala kupoteza maisha imeteketea kwa moto”amesema Wakulyamba na
kusisitiza kwamba jeshi la polisi linafanya uchunguzi kujua chanzo cha moto huo.
|








No comments:
Post a Comment