|
Kiwango cha
ushawishi chanya wa Marekani umeonekana kuendelea kushuka haraka kuliko nchi
yoyote, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Ipsos MORI.
Organisation
hiyo ya Kimataifa iliwatafiti watu wazima 18,055 kutoka katika nchi 25 ambapo
iliwauliza Taifa gani na Taasisi gani ya Kimataifa (zikiwemo EU na UN)
zilizokuwa na ushawishi mkubwa duniani.
Wengi
walionesha kujibu Canada kuwa na ushawishi chanya duniani ambapo inawafanya
kupata 81% na kuwa kinara ikifuatiwa na Australia katika nafasi ya pili ikiwa
na 79%. Marekani ikamata nafasi ya 9 ikiwa na 40%.
|
No comments:
Post a Comment