Rooney na
wachezaji wenzake wa Everton baada ya kuisaidia timu hiyo kuilaza Gor Mahia ya
Kenya.
Wayne Rooney aliyerejea Everton wiki iliyopita
baada ya miaka 13 tangu ahamie Manchester United amekumbushia kitu alichofanya
wakati anajiunga na timu hiyo ya Merseyside kwa mara ya kwanza kabisa
alipofunga bao lake la kwanza katika mechi ya kwanza dhidi ya Arsenal mwaka
2002, siku tano kabla hajatimiza miaka 17.
|
Friday, July 14, 2017
Taswira Picha Shabiki wa Man United na Wayne Rooney walivyokumbatiana Uwanjani.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment