Hapa Kutaga kwa sana ,Magari hayo yamekwama kwa kuharibika au kushindwa kupita baada ya barabara kuzibwa na magari yaliyokwama.
Wakizungumza
na Mwandishi wa Mtandao huu, Baadhi ya Madereva
waliokwama hapo wamesema kuwa kukwama kwao ni kutokana na ubovu wa
barabara ambao umesababisha mashimo
makubwa licha ya kila wakati wote barabara hiyo kuwa katika matengezo ambayo wamesema kuwa yapo chini ya kiwango.
Barabara Kuu
ya Nyakanazi hadi Rusumo kwa muda mrefu sasa imekuwa korofi kutokana na
kukosekana kwa matengenezo ya uhakika katika barabara hiyo muhimu kibiashara
kati ya nchi za Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi.
|
Udongo wenye vumbi unavyoonekana huku ukiyafunika mashimo
makubwa makubwa licha ya kila wakati wote barabara hiyo kuwa katika matengezo ambayo yanaelezwa na watumiaji wa barabara hiyo kuwa yapo chini ya kiwango.
|
Kujikwamua kupita mashimo mpaka tairi jipya kabisa lililofungwa garini linaharibika
|
No comments:
Post a Comment