Meneja
huduma wa Kampuni hiyo Fransisi Sengo anasema ni siku moja tu imepita baada ya
ajali nyingine ya Superfeo kutoka Mbeya kuja Songea kupata ajali juzi katika
kijiji cha Mbangamawe wilayani Songea na kuua Dereva wa basi hilo.
|
Mwenyekiti
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya ya Songea ambaye ndiye Mkuu wa Wilaya
ya Songea,Bw. Pololet Kamando Mgema
ametembelea eneo la ajali ambapo Inadaiwa ajali hiyo ilisababishwa na Dereva
ambaye alikuwa anaongea na simu huku anaendesha gari.
Bw.Mgema ameagiza vyombo vya dola kufuatilia
tabia za madereva ikiwa ni pamoja na kuwapima viwango vya ulevi ili kupunguza
ajali zisizo za lazima.
|
Habari/Pichakwa Hisani ya RSA TANZANIA(Road Safety Ambassadors) |
No comments:
Post a Comment