![]() |
Mwanasheria, Tugume
Gideon ameiomba Mahakama Kuu ya Uganda kutoa kibali hicho ili fedha hizo ziweze
kutolewa kaburini, kwani ni kinyume na sheria kufukia fedha ardhini ambazo ni
moja ya nyara za serikali.
Ivan
Semwanga alizikwa siku ya Jumanne May,30,2017 nyumbani kwake Kayunga
nchini Uganda.
|

No comments:
Post a Comment