Pichani ni baadhi ya Wananchi
wakiondoa tope kwenye barabara itokayo Kamachumu kuelekea Bukoba mjini eneo la
Lukono Kata ya Muhutwe wilaya ya Muleba Mkoani Kagera baada ya Magari 30 ya abiria pamoja na
mizigo kukwama katika tukio lililotokea asubuhi ya May 14,2017 kutokana na ubovu wa Barabara na mvua
zinazoendelea kunyesha mbele ya daraja la Kyabakoba.
No comments:
Post a Comment