![]() |
Wito wa
kufika mbele ya Kamati hiyo unafuatia Azimio la Bunge lilitolewa tarehe 8
Februari 2017 ambapo Bunge liliazimia Mhe. Spika aweze kukubali Mkuu wa Wilaya
ya Arumeru Mhe. Alexandra Mnyeti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul
Makonda wahojiwe kutokana na Matamshi yao ya Kudharau Bunge.
|









No comments:
Post a Comment