Askofu
mteule wa Dayosisi ya Rwelu mkoani Kagera, Godfrey Mbelwa ambaye alikuwa Katibu
Mtendaji wa Dayosisi ya Kagera Murugwanza wilayani Ngara amesimikwa rasmi February
05,2017 na Askofu mkuu wa Anglikan Tanzania Dr Jacob Chimeledya katika viwanja
vya kanisa la Anglikana mjini Muleba.
Tazama zaidi picha za tukio hilo hapa chini nimekuwekea.
|
No comments:
Post a Comment