![]() |
Mhe.Freeman Mbowe.
“Kwanza nataka
nikanushe kwamba Mheshimiwa Rais hajawahi kutangaza kuvifuta vyama vya
upinzani. Pia Watanzania wote wanajua nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na
taratibu ,” amesema Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu
ameongeza kuwa “tunajua
katika kuendesha nchi tunaendesha kwa mihimili mitatu ipo Serikali, Mahakama na
Bunge na hakuna mhimili unaoweza kuuingilia mhimili mwingine,”.
“Pia Watanzania wote
wanajua kwamba jambo lolote ambalo lipo Mahakamani haliwezi kuzungumzwa mahali
pengine popote, hivyo siwezi kutumia nafasi hii kuzungumzia mambo yote
yanayoendelea chini ya sheria na yaliyo mahakamani,” amesema.
|
Thursday, February 02, 2017
BUNGENI/DODOMA:Kauli ya Serikali kuhusu Uupinzani nchini Tanzania kufutwa.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment