![](https://3.bp.blogspot.com/-yWGZDplS4tY/WKuAKMH6SbI/AAAAAAABBSg/2u8qUP1XWmAN3kjE8RorisExNXUKWAufACLcB/s640/2.jpg)
![]() |
Mchezo dhidi
ya Sutton United haukuwa mwepesi
sana kwa Arsenal, kwani licha ya
kuutawala mchezo kwa asilimia 67 na Sutton wakitawala kwa asilimia 33,
haikuisaidia Arsenal kupata ushindi
wa idadi kubwa ya magoli na wameishia kupata ushindi 2-0 zilizofungwa na Lucas Perez dakika ya 27 na Theo Walcott dakika ya 55 ambapo hilo
linakuwa goli lake la 100 toka ajiunge na Arsenal 2006.
|
![]() |
Ratiba ya
kombe hilo la FA katika hatua ya robo fainali sasa limeenda katika hatua ya
raundi ya tano kwa timu ya Manchester United inayoongozwa na Jose Mourinho
ikipangiwa kukutana na Chelsea ya Antonio Conte
katika hatua hiyo.
Man United imefanikiwa kuingia katika hatua
hiyo baada ya kuifunga Blackburn Rovers
2-1 Jumapili huku Chelsea wakiibuka kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolves Hampton.
Hii ni ratiba ya mechi za robo fainali ya
kombe hilo ambapo zinatarajiwa kuchezwa kati ya Machi 11 na 12 ya mwaka huu.
Chelsea vs
Manchester United
Middlesbrough
vs Huddersfield & Man City
Tottenham
Hospurs vs Millwall
Lincoln City
vs Arsenal
|
No comments:
Post a Comment