![]() |
"Muda mfupi kabla ya mapumziko,
tulikuwa na nafasi mbili nzuri za kufunga. Tulirejea na kucheza vyema.
"Kipindi cha pili, tulimpoteza Koscielny upesi - alitoka tukiwa 1-1 -
na hatimaye tukasambaratika. Bayern
ni timu nzuri kutushinda vpia.
"Nilihisi bao la tatu
liliangamiza wachezaji wetu kabisa kwa sababu baada ya hapo hatukuweza kujibu
tena.
|
![]() |
Lakini
Kipindi cha Pili, ndani ya Dakika 20, Bayern walifunga Bao 3 za chapchap
kupitia Robert Lewandowski na Thiago Alcantara, na kuongoza 4-1.
Dakika ya
88, Thomas Muller akaipa Bayern bao lao la 5 na kupata ushindi mnono wa 5-1 kwa
kuisambaratisha Timu ya Arsene Wenger.
Hii
inawaweka hatarini ya kuondolewa tena hatua ya muondoano kwa msimu wa saba
mtawalia.
|
![](https://2.bp.blogspot.com/-ny34njTRheQ/WKVMpY_D9gI/AAAAAAABBOw/9YrFxnTmcZ0KxgZdT8cyn1_w72UOOceUQCLcB/s640/3.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-baJFUu04s-g/WKVMpjIO6UI/AAAAAAABBO4/LihUc0aceu0c5aqPHFXjIOeRnSKkHFfKACLcB/s640/4.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-f5kFa8tkuiE/WKVMqOLcEOI/AAAAAAABBO8/lYqPBha0QxI8H_oYTPwuK6iz--Gn8R62wCLcB/s640/6.jpg)
No comments:
Post a Comment