VIDEO: Vituko Avaa Dera la Mkewe baada ya Kupigiwa Simu ya Hela.! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 10, 2017

VIDEO: Vituko Avaa Dera la Mkewe baada ya Kupigiwa Simu ya Hela.!

Uswahilini ni sehemu ambayo inaongoza kwa vituko, ugomvi na maneno ya shombo. Wahenga walisema kuishi kwingi ndio kuona mengi, Haraka Haraka haina baraka hii misemo inamaanaisha ukiishi sehemu tofauti tofauti utaona vitu vingi na kujifunza pia. 

Haraka haraka haina baraka hii imebeba maana ya kwamba ukienda haraka unaweza kukosea au kusahau kitu muhimu.

Tumia dakika zako chache kuitazma short video, ya uswahilini iliyo chezwa na Vicent Petro (Mr.Kilaka) Husina, Moses & Ziada Mgwassa (Zaydar).

 Endelea kusapport sanaa ya Tanzania tunaamini bila wewe hatuwezi fika popote thanks. Kwa maelezo na taarifa yeyote wasiliana nasi kwenye 0658161950.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad