Nayo Radio
Free Africa imekamata nafasi ya pili kwa kusikilizwa zaidi hususan kuanzia saa
12 asubuhi hadi saa 2. “Kuna ushindani mkali baina ya vituo vya redio wakati wa
mchana,” imesema ripoti hiyo.
Katika vituo
10 vya redio, Clouds FM imeendelea kuchukua sehemu kubwa ya wasikilizaji, ifikayo
23.6% ikifuatiwa TBC Taifa yenye 7.5% na Radio Free Africa yenye 7.3%.
Kwa upande
wa runinga, licha ya Clouds TV kwa ujumla kuwa kituo kinachotazamwa zaidi
nchini, saa 2 usiku hadi saa 3 usiku (muda wa taarifa ya habari) ITV ndiyo
inayotazamwa zaidi.
|
Clouds
inachukua 19.6% ya utazamwaji ikifuatiwa na East Africa TV ikiwa na wastani wa
17.2% na kufuatiwa na ITV yenye 17.0%, huku TBC1 ikishika nafasi ya 4 kwa
wastani wa 10.8%.
|
No comments:
Post a Comment