Bw. Jumanne
Mtumwa Kiragu (aliyevaa kofia) ambaye alikuwa mtumishi wa Wizara ya Mambo ya
ndani ya nchi Idara ya Magereza akitoa taarifa zake za kusataafu kwa Mkaguzi wa
ndani wakati wa zoezi la kuhakiki taarifa za wastaafu Mkoani kigoma.
|
Mkaguzi Mkuu
wa Ndani Msaidizi Bw. Stanslaus Mpembe akimhudumia mstaafu wakati wa zoezi la
uhakiki wa wastaafu wanaolipwa na Wizara ya Fedha na Mipango, linalofanyika
katika Halmashauri ya Mji wa Kigoma, Mkoani Kigoma.
|
Baadhi ya
Wastaafu Mkoani kigoma wakisubiri kuhakiki taarifa zao katika zoezi la kuhakiki
taarifa za wastaafu wanaolipwa na Hazina, linaloendelea katika mikoa ya Kigoma
na Tabora.
|
Mkaguzi Mkuu
wa Ndani Msaidizi Bw. Stanslaus Mpembe akiongea na wahandishi wa Habari
akielezea utaratibu unaotumika katika kuhakiki taarifa za wastaafu katika zoezi
la uhakiki unaendelea katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma –ujiji.
(PICHA ZOTE
NA Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Fedha na Mipango-WFM)
|
No comments:
Post a Comment