EPL 2016/2017: Burnley, Hull City, Stoke City, Arsenal na West Ham zatoka na ushindi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 14, 2017

EPL 2016/2017: Burnley, Hull City, Stoke City, Arsenal na West Ham zatoka na ushindi.

Arsenal, wakicheza Ugenini na kuitandika Swansea City  kwa  Alex Iwobi shuti lake kumbabatiza Jack Cork na kujifungia dakika ya 54 kuipatia Arsenal bao la pili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji Swansea City leo January 14, 2017 kwenye Uwanja wa Liberty.

 Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 37, Kyle Naughton aliyejifunga pia dakika ya 67 na Alexis Sanchez dakika ya 73.
Matokeo mengine ya Mechi za Leo Jumamosi ni pamoja na West Ham wameitandika Crystal Palace 3-0 kwa Bao za Sofiane Feghouli, Manuel Lanzini na Andy Carroll.
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad