UEFA Champions League 2016/2017 -Arsenal na Vigogo wa Germany, Bayern Munich. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 12, 2016

UEFA Champions League 2016/2017 -Arsenal na Vigogo wa Germany, Bayern Munich.

DROO KAMILI.

Droo ya Raundi ya Mtoano ya UEFA Champions League 2016/2017 imefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa kucheza na Napoli.

Arsenal ya England itacheza na Vigogo wa Germany, Bayern Munich wakati PSG ikiivaa FC Barcelona.

Manchester Citi itaikwaa Monaco wakati Mabingwa wa England Leicester City wakicheza na Sevilla ya Spain.

Mechi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UEFA Champions League 2016/2017  zitachezwa Tarehe 14/15 na 21/22 Februari na Marudiano ni Tarehe 7/8 na 14/15 Machi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad