
Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya Wadaiwa Sugu
ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu kuanzia mwaka wa
masomo 1994/1995.
Wasugu hao
wanapewa siku 30 kulipa madeni yao ndani ya muda huo kabla hatua za kisheria
hazijachukuliwa na wahusika kulazimika kulipia gharama za kuwasaka na kuendesha
kesi.
Kwa
mawasiliano zaidi piga 0763 459 165 au 0767 513 208 au tembelea ofisi zetu za
Makao Makuu, Dar es salaam au ofisi zetu za kanda zilizopo Dodoma, Zanzibar,
Mwanza na Arusha.
Kuona
orodha hiyo bofya viunganishi vifuatavyo:
No comments:
Post a Comment