Wilaya ya
Ngara ni moja ya wilaya iliyopo Mkoani Kagera ambayo mji wa Benaco uliopo Kata
ya Kasulo licha ya kukua kwa kasi kimaendeleo lakini umekuwa na changamoto ya
kukosa eneo bora la kuegesha magari makubwa ya mizigo ( PARKING )yanayofanya safari zake
kwenda Nchi Jirani ya Rwanda na Maeneo Mengine ya Jirani ambayo yamekuwa yakiegeshwa kandokando ya barabara
hali inayohatarisha usalama wa matumizi sahihi ya barabara kama Picha zaidi
vinavyoonesha.
No comments:
Post a Comment