Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera utazameni huu Mnara ulivyochakavu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 10, 2016

Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera utazameni huu Mnara ulivyochakavu.

Pichani ni Muonekano wa Mnara wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera ukiwa katika hali ya uchakavu ambapo Halmashauri hiyo haina budi kutenga fedha kwa ajili ya ukarabati wa mnara huo sambamba na na majengo ya halmashauri hiyo .

Picha Zote Na Shaban Ndyamukama-Ngara.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad