![]() |
|
Upungufu unamwezesha
mtu wa tatu kumpokonya mmiliki wa simu udhibiti kwani anaweza hata akabadilisha
herufi za siri bila yako wewe kujua.
''upungufu
unamwezesha mtu wa tatu kumpokonya mmiliki wa simu udhibiti kwani anaweza hata
akabadilisha herufi za siri bila yako wewe kujua''
''Ni hatari
sana , ni kama mtu amejenga nyumba akaweka mle ndani mali ya thamani ya juu
kisha akaondoka akiwa ameacha mlango wake wazi''alisema Shaulov.
Checkpoint
tayari imeanza kutoa programu zenye uwezo wa kudhibiti simu hizo na tayari wameipa
kampuni ya Qualcomm mbinu za kudhibiti simu hizo.
Njia moja ya
kuimarisha usalama wa simu wanasema ni kununua programu kutoka kwa soko maalum
la Google Play.
Qualcomm
imenyamaza kimya kuhusu ripoti hii iliyotolewa na Checkpoint.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
|
Monday, August 08, 2016
UDUKUZI:-Simu Milioni 900 za Android Hatarini.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.








No comments:
Post a Comment