
Wanamitindo wakionyesha jezi za
African Lyon watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
wa 2016/2017 unaoanza mwishoni mwa mwezi huu katika hafla ya kukabidhi vifaa
vya michezo kwa timu zote za ligi kutoka kwa wadhamini, Vodacom Tanzania
iliyofanyika Jana Agosti 04,2016 mjini Dar es Salaam , Vifaa hivyo vilivyokabidhiwa kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo
vina thamani ya shilingi milioni 514,208,400 /=.
Akikabidhi vifaa hivyo ,
jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha
Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Nandi Mwiyombella ,alisema
kuwa kwa mara nyingine tena katika
kuhakikisha ligi ya soka nchini inaenda vizuri Vodacom inakabidhi vifaa mbalimbali vya ligi ambavyo ni jezi
mbalimbali, viatu vya mazoezi na mechi, soksi, vilinda ugoko, nguo za mazoezi,
nguo za kawaida, gloves na vifaa vingine vingi vinavyohitajika.

Wanamitindo wakionyesha jezi za Azam FC
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za Azam FC
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za Prisons FC
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za timu
mbalimbali watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
2016/2017 katika hafla iliyofanyika leo mjini Dar es Salaam

Wanamitindo wakionyesha jezi za JKT Ruvu
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za Majimaji
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za Mbeya City
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017.

Wanamitindo wakionyesha jezi za Mtibwa
Sugar watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Ndanda FC
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Ruvu
Shooting watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba SC
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba
watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba watakazotumia katika Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za Stand
United watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Toto
Africans watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao

Wanamitindo wakionyesha jezi za Marefa watakazotumia katika Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017

Wanamitindo wakionyesha jezi za Yanga SC watakazotumia katika
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao 2016/2017






No comments:
Post a Comment