TASWIRA PICHA:-Staff wa Radio Kwizera FM-Ngara/Kagera na Elimu ya Kinga na Tahadhali ya Moto kutoka Zimamoto na Uokoaji Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 07, 2016

TASWIRA PICHA:-Staff wa Radio Kwizera FM-Ngara/Kagera na Elimu ya Kinga na Tahadhali ya Moto kutoka Zimamoto na Uokoaji Mkoani Kagera.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera,leo linaendelea kutoa elimu ya Kinga na tahadhali ya Moto wilayani Ngara mkoani Kagera ambapo lilianza kwa kutoa elimu hiyo kwa Wafanyakazi wa Radio Kwizera FM iliyopo wilayani Ngara mkoani Kagera,kwa maelezo ya namna Moto unavyotokea,aina ya moto sambamba na Vitendo vya kuukabili  moto unapojitokeza/waka  katika mazingira tofauti kama Picha hapa chini zikionesha zaidi..






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad