KOMBE LETU:-Manchester United yaitwanga Leicester City na Kubeba Ngao ya Jamii. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 07, 2016

KOMBE LETU:-Manchester United yaitwanga Leicester City na Kubeba Ngao ya Jamii.

Wachezaji wa Manchester United, wakiinua juu Ngao kushangilia baada ya Kuibuka Mabingwa wa Ngao ya Jamii leo hii Agosti 07,2016 dhidi ya Mabingwa wa Uingereza wa msimu wa  2015/2016, Leicester City walipocheza katika mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria kufunguliwa kwa pazia la msimu mpya wa Ligi kuu nchini humo kwenye Uwanja wa Wembley, London.
Manchester United  imeshinda 2-1, baada ya Jesse Lingard kuanza kufunga dakika ya 32, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester dakika ya 52 kwa pasi boko ya Marouane Fellaini na Zlatan Ibrahimovic kupiga la ushindi dakika ya 83.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad