TASWIRA PICHA MADIWANI MULEBA:-DC Ruyango awataka Ushirikiano wa kufanya kazi kwa Bidii. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, August 05, 2016

TASWIRA PICHA MADIWANI MULEBA:-DC Ruyango awataka Ushirikiano wa kufanya kazi kwa Bidii.


Mkuu wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Mhe. Richard Ruyango kulia akihutubia baraza la madiwani leo ,Agosti 05,2016 ambapo pamoja na mambo mengine,Mhe. Ruyango akiwaomba ushirikiano wa kufanya kazi kuhakikisha wanasimamia maendeleo ya wananchi na kutatua changamoto zinazowakabili. Mwenye joho rangi nyekundu ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Muleba ,Mhe.Chrizant  Kamugisha.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad