TASWIRA:-Ni Picha mbalimbali Uwanja wa Kaitaba/Bukoba hii leo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 13, 2016

TASWIRA:-Ni Picha mbalimbali Uwanja wa Kaitaba/Bukoba hii leo.

Mafundi wakishusha Vifaa mbalimbali ndani ya Uwanja wa Kaitaba hii leo kwa ajili ya umaliziaji wa Uwanja wa Kaitaba. Vikiwemo Mchanga, Gundi, Magoli, uzio wa pembeni ya Uwanja n.k leo hii Jumamosi siku moja kabla ya Uchaguzi wa KRFA ambao unatarajiwa kufanyika kesho Misenyi Bukoba. Picha zote na Faustine Ruta/bukobasports

Moja ya Kifaa maalum kilicholetwa leo hii cha kusambazia Rubber kwenye Uwanja wa Kaitaba ambao unajengwa kisasa kwa kuwekewa nyasi bandia, ambao hivi karibuni utamalizika na hatimaye kutumika kwa michezo mbalimbali.
Gundi maalum ambayo ndio ilisimamisha kiasi kikubwa cha kuendelea kumalizika kwa Uwanja wa Kaitaba ikiwa tayari imefika na sasa kazi hiyo itakwenda kwa kasi sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad