Makubaliano ya Simba na MO Dewji kuhusu kuiendesha Simba SC katika mfumo wa hisa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 17, 2016

Makubaliano ya Simba na MO Dewji kuhusu kuiendesha Simba SC katika mfumo wa hisa.

August 15 2016 kamati ya utendaji ya Simba ilikutana na mfanyabiashara na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji  ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa, leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao chao cha pamoja.

Ikumbukwe Dewji aliomba kununu asilimia 51 za hisa kwa shilingi bilioni mbili za Tanzania.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad