TAZAMA VIDEO:-..‘Unapokwisha uchaguzi unakuwa wakati wa kazi, haiwezekani kila siku siasa’- JPM - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 23, 2016

TAZAMA VIDEO:-..‘Unapokwisha uchaguzi unakuwa wakati wa kazi, haiwezekani kila siku siasa’- JPM

June 23,2016 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekabidhi taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa taarifa hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema kwa sasa uchaguzi umekwisha na ametaka watanzania wote wajielekeze kufanya kazi.

>>>’Kila nchi hata nchi zenye demokrasia, zilizobobea kwa demokrasia unapokwisha uchaguzi unakuwa ni wakati wa kazi, haiwezekani kila siku ni siasa watu watalima saa ngapi’?.


ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad