TASWIRA PICHA KUTOKA ILAMBA SINGIDA: - Mhe.Mwigulu Nchemba Apokea Madawati 100 kutoka Ubalozi wa China hapa Nchini. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 04, 2016

TASWIRA PICHA KUTOKA ILAMBA SINGIDA: - Mhe.Mwigulu Nchemba Apokea Madawati 100 kutoka Ubalozi wa China hapa Nchini.

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi wa Tanzania na Mbunge wa Jmbo la Ilamba Mkoani Singida ( CCM ) ,Mhe.Mwigulu Nchemba akipokea Madawati 100 wakati wa ziara ya Balozi wa China hapa nchini, Bw Lu Young Quin aliyetembelea wilaya ya Ilamba mkoani Singida.
Balozi wa China hapa nchini Bw Lu Young Quin (aliyekaa kushoto pichani) na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi wa Tanzania na Mbunge wa Jmbo la Ilamba Mkoani Singida ( CCM ) ,Mhe.Mwigulu Nchemba kwa pamoja wakiwawamekaa kwenye Dawati ambapo Balozi wa China Nchini  amesema ziara yake mkoani Singida imelenga kukagua miradi ya elimu na kilimo ambapo ametoa msaada wa madawati 100 kwa shule sita za msingi wilayani Ilamba mkoani humo.






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad