Akiongea katika kikao
cha waandishi wa habari nje ya afisi yake jijini London, Bw.Cameron amesema
kuwa hahisi tena kuwa mtu muhimu wa kuliongoza taifa hilo kwa ufanisi chini ya
uamuzi kama uliofanywa.
Sauti yake iliibua
hisia hasa aliposena ..''..naipenda saana taifa hili na najihisi vizuri kuliongoza
muda huo wote.
Bw.Cameron amesema
kuwa kauli ya wengi sharti isikizwe japo hafahamu kwanini Waingereza walichukua
uamuzi kama huo ilhali taifa hilo lilikuwa linaufanisi mkubwa sana ndani ya EU.
Bw.Cameron akiwa
ameandamana na mkewe amesema bila shaka sasa utawala mpya unahitajika
utakaoweza kutathmini mbinu na mkataba wa kujiondoa kutoka kwa muungano huo wa
bara Ulaya.
Habari na BBC SWAHILI.
|
Friday, June 24, 2016
KUJITOA UMOJA WA ULAYA:-Waziri mkuu wa Uingereza ajiuzulu.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment