HABARI MPASUKO:-Jeshi la Polisi awasambaratisha Wanafunzi wa UDOM ambao ni Wanachama wa CHADEMA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 18, 2016

HABARI MPASUKO:-Jeshi la Polisi awasambaratisha Wanafunzi wa UDOM ambao ni Wanachama wa CHADEMA.

Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma  limewasambaratisha Wanafunzi  wa UDOM ambao ni Wanachama wa CHADEMA ( Chadema Students Organization -CHASO ) waliokuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika Ukumbi wa African Dreams  ulipo Area D mjini Dodoma.
 
Katika hafla hiyo Mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe.Frederick Sumaye ambapo baadhi ya Wanafunzi wamekamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.

Polisi wamesema Mikusanyiko  yote ya kisiasa ilishapigwa marufuku, hivyo hata mahafali hiyo ilikuwa batili.TAARIFA KWA HISANI YA MPEKUZIHURU.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad