CAF KOMBE LA SHIRIKISHO:-Kesho June 28, 2016 –Yanga SC vs TP Mazembe Mashabiki Kuingia uwanjani Bure. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, June 27, 2016

demo-image

CAF KOMBE LA SHIRIKISHO:-Kesho June 28, 2016 –Yanga SC vs TP Mazembe Mashabiki Kuingia uwanjani Bure.

.com/simgad/
2
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania, imeamua kutoa fursa kwa Mashabiki wake na Mashabiki wa soka la Tanzania kuingia bure kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe miamba ya soka la DR Congo mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumanne June 28,2016 kwenye uwanja wa taifa.

Taarifa iliyotolewa na Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Jerry Cornel Muro inazomeka hivi: “Mechi ya Yanga na TP Mazembe Jumanne 28-06-2016, mashabiki wote wanaruhusiwa kuingia uwanjani BURE bila ya kiingilio, lengo likiwa ni kuwahakikishia WATANZANIA wanapata nafasi ya kui-support timu yao ya Yanga.”
1


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *