Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Kikundi cha
ngoma za asili cha Entebe nchini Uganda wakati akiondoka kurejea nchini.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita mbele ya gwaride rasmi
lililoandaliwa kwa ajili ya kumuaga katika uwanja wa ndege wa Entebe wakati
akiondoka kurejea nyumbani Tanzania.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na baadhi ya viongozi mbalimbali wakati alipowasili kwenye
hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
kwa Viongozi wakuu wanchi mbalimbali siku walipowasili Kampala nchini Uganda.
|
Waandishi
mbalimbali wa Habari kutoa nchi tofauti wakiwa na shauku ya kupata picha ya
Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uapisho
wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni zilizofanyika kwenyeuwanja wa
Uhuru wa Kololo, Kampala nchini Uganda.
Katika Picha hiyo Rais Dkt. Magufuli alikuwa akizungumza na Rais wa Kenya,Mhe Uhuru
Kenyatta.PARUZI PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.
Picha na
IKULU.
|
No comments:
Post a Comment