ASILI YA MELI:-Ilianza hivi…..’’…Na baadae Kuwa Chombo Kikubwa cha Usafiri Duniani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 10, 2016

ASILI YA MELI:-Ilianza hivi…..’’…Na baadae Kuwa Chombo Kikubwa cha Usafiri Duniani.

Mkazi wa mwambao wa Ziwa Victoria linalounganisha Mikoa ya Mwanza, Mara, Geita, Shinyanga na Kagera akionesha umahili katika kutumia mtumbwi asilia na kusafiri kwa zaidi ya kilomita 40 kutoka wilaya ya Sengerema na Geita hadi Jijini Mwanza. 

Mkazi huyu ni mjasiliamali na mvuvi anahitaji kujengewa uwezo ili siku moja amiliki Meli.

Aidha athaminiwe na kukubalika tofauti na sasa ambapo wabunifu hupuuzwa.
Pichani ni Mtumbwi wa kisasa. Je jamaa wa picha ya awali anaamini jamiiikimthamini anaweza kufanya makaubwa..’’….PICHA ZAIDI....BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad