PICHA YETU LEO:-Tazama Muonekano wa Sasa wa Daraja la Kimataifa la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 08, 2016

PICHA YETU LEO:-Tazama Muonekano wa Sasa wa Daraja la Kimataifa la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera.

Pichani ni Muonekano wa Daraja la Kimataifa la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera linalounganisha Tanzania na Rwanda.

Upande wa chini ni Mto Kagera ambao kwa upande wa Rwanda unaitwa Akagera,ambapo Hapo ndipo patakapo kuwa na  mradi wa umeme "Rusumo Hydro electric Power Project" kwenye mpaka kati ya Rwanda na Tanzania!
Haya ni maji ya Mto Kagera/Ruvubu ambayo yanapokutana yanatengeneza Maporomoko ya maji ya Rusumo.


Hapa juu na chini ni Maporomoko ya maji ya Rusumo.


Muonekano wa Maporomoko ya maji ya Rusumo.



Pichani hapa ni Muonekano njia mpya ya kupita magari kutoka kuelekea Daraja la Kimataifa la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera linalounganisha Tanzania na Rwanda.



Pichani ni Muonekano wa Daraja la Kimataifa la Rusumo -kulia-lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera linalounganisha Tanzania na Rwanda, kushoto ni daraja la zamani lenye rangi ya njano na kulia ni Daraja jipya.

Maporomoko ya maji ya Rusumo.



Hapa ni Muonekano njia mpya iliyojengwa ya kupita magari juu ya Daraja la Kimataifa la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera linalounganisha Tanzania na Rwanda.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad