Wachezaji wa Man City.
Mechi za Marudiano za Hatua ya Robo Fainali ya Mashindano ya
Klabu Bingwa Ulaya msimu huu wa 2015/2016 ama UEFA CHAMPIONS LEAGUE Inaendelea
tena leo Jumanne,April 12, 2016 na kesho Jumatano ,April 13, 2016 kwa michezo
minne, ambapo leo kunachezwa mechi mbili
.
Mechi za leo Jumanne,April 12, 2016.
Manchester
City vs Paris St-Germain
Uwanja wa Etihad
Real
Madrid Vs VfL Wolf-sburg Uwanja wa Santiago Bernabeu
Kesho Jumatano,April 13, 2016.
Benfica watawakaribisha Bayern Munich ,na Atletico
Madrid watakuwa wenyeji wa Barcelona.
|
No comments:
Post a Comment