KLABU BINGWA AFRICA:-Yanga SC yalazimisha sare na Al Ahly leo April 09,2016 Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, April 09, 2016

KLABU BINGWA AFRICA:-Yanga SC yalazimisha sare na Al Ahly leo April 09,2016 Dar es Salaam.

Klabu ya Soka ya Yanga SC ya Dar es Salaam, imelazimishwa sare ya bao 1-1 katika mechi ya hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Timu ya Al Ahly ya Misri, katika mchezo uliochezwa leo April 9, 2016 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwa matokeo, Yanga SC italazimika kwenda kushinda ugenini ili kutimiza ndoto za kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa mara ya pili katika historia yao baada ya mwaka 1998.

Katika mchezo wa leo, mabao yote yalipataka kipindi cha kwanza, Al Ahly wakitangulia kufunga kupitia kwa mshambuliaji wake  Amr Gamal dakika ya 11, kabla ya Yanga SC kusawazisha kwa bao la Issoufou Boubacar dakika ya 33.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad