|
Kwa
Mujibu wa Kanuni ya 3(1)na(2) ya Kanuni za Viakisi Mwanga za mwaka,2014, GN.24,
Gari zifuatazo zinatakiwa kubandika viakisi mwanga.
(a)
Magari yote yaliyoundwa na kujenga mahususi kwaajili ya kubeba mizigo na yenye
uzitowa chini wa tani 3.5;
(b)
Magari makubwa ya mizigo(HDV);
(c)
Magari ya abiria na Mitambo ya Kihandisi(Engeneering Plant Vehilces);
Kwa
Mujibu wa kanuni ya 3(2)
Kila la
gari la mizigo, gari la kazi nyepesi(light duty), gari la abiria na mitambo
litabandikwa viakisi mwanga upande wa nyuma(rear); Ubavuni(sides) na
mbele(front).
Kwa
mujibu wa kanuni ya 4 mtu yeyote atakayekiuka maelekezo ya kanuni hizi anatenda
kosa, na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki
moja na isiyozidi shilingi laki tatu au kufungwa jela miezi sita au vyote kwa
pamoja.
[ These
Regulations shall apply to all vehicles designed and constructed for the
carriage
of goods and having a minimum weight of 3.5
tones,
heavy duty vehicles, public service vehicles and
engineering
plant vehicles.
(2) Every
heavy duty vehicle, light duty
vehicle,
public service vehicle and engineering plant
vehicle
shall be affixed with retro reflective markings
on the
rear, on the sides and on front]
|
No comments:
Post a Comment