BIASHARA NA UCHUMI:-EWURA yatangaza kushuka kwa Bei ya Mafuta Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 01, 2016

BIASHARA NA UCHUMI:-EWURA yatangaza kushuka kwa Bei ya Mafuta Tanzania.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Bw Felix Ngamlagosi amesema ‘kuanzia tarehe 02 Machi,2016 bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la Februari 2016.

Kwa Machi 2016 bei ya rejareja za petroli imepungua Tsh 31 kwa lita sawa na 1.70%, Diesel imepungua Tsh 114 kwa lita sawa na 7.10% na mafuta ya taa yamepungua kwa Tsh 234 kwa lita sawa na 13.75%’

‘kwa kiasi kikubwa, kupungua huku kwa bei za mafuta kwenye soko la ndani kumetokana na kuendelea kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia.
Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad