AJALI / TASWIRA PICHA:- Ni Ajali ikihusisha Daladala na Malori Mawili Yaua Watu 4 na Kujeruhi,Jijini Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, March 09, 2016

AJALI / TASWIRA PICHA:- Ni Ajali ikihusisha Daladala na Malori Mawili Yaua Watu 4 na Kujeruhi,Jijini Dar es Salaam.

Ajali hii imetokea leo,March 09,2016,Majira ya  asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha malori mawili  na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo.

Kwa mujibu wa Mganga mkuu Hospitali  ya  Amana, Dr Stanley Binagi, amesema watu wanne wamefariki dunia huku 25  wakijeruhiwa.

HAPA CHINI NI ORODHA YA WATU WALIOPATA AJALI ALFAJIRI YA LEO ENEO LA TABATA MATUMBI.

Inaelezwa kuwa, Chanzo cha ajali hiyo, ni Lori lililobeba Mchanga ambalo liliikuwa kwenye mwendo kasi, kwenda kuligonga Daladala hilo kwa nyuma, hali iliyopelekea Daladala hilo kukosa mwelekeo na kwenda kugongana na Lori lingine lililokuwa limepakia Ng'ombe waliokuwa wakipelekwa Pugu Mnadani.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad