![]() |
|
Simu hizo za
Galaxy S7 zimerejeshewa uwezo wa kusoma kadi ya kuhifadhia data al maarufu
(MicroSD card).
''Ninashindwa
kwa hakika kuelezea mtu tofauti kati ya simu hii ya Galaxy S7 naile ya Galaxy
S6''
Samsung huwa
haitangazi idadi ya simu ilizouza.
Hata hivyo
idadi ya mauzo ya kampuni hiyo ilizorota kwa asilimia 2% katika mwaka wa 2015.
Wapinzani
wake wakuu Apple, Huawei na Xiaomi hata hivyo walisajili kuimarika kwa faida
zaidi.
Takwimu ya
kampuni moja ya mauzo ya teknolojia IDC inaonesha kuwa kampuni hiyo ya Korea
Kusini ni bora zaidi katika mauzo ya simu katika vitengo tofauti kote duniani.
Simu hiyo
mpya ya Galaxy S7 inaurefu wa nchi 5.5in (14cm)...Simu ya
awali ya Galaxy S6 inaurefu wa nchi 5.1 (13cm).
BBC Swahili.
Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari kwa WhatsApp +255789925630 Or +255756830214.
|
Monday, February 22, 2016
TEKNOLOJIA YETU:-Samsung yazindua simu mpya ya Galaxy S7.
Tags
# DONDOO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
DONDOO
Labels:
DONDOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment