Katibu Mku
wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM,Rais Mstaafu wa
awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete mapema leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua,
kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singida.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk.
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mh. Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo mara baada ya kuwasili
uwanjani hapo.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete akiwapungia mkono
Wananchi waliofika kushuhudia maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mapema leo
asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, mkoani Singida.
Msafara wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ukiwasili ndani
ya uwanja wa Namfua mapema leo asubuhi kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka
39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singida.
Katibu Mku wa
CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Rais Dkt John Pombe Magufuli mapema
leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka
39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singida.
Mh.Rais Dk.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Mh. Dk. Parseko
Kone.
Rais Dk.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa
mara baada ya kuwasili uwanjani hapo katikati ni Makamu wa Rais Mama Samia
Suluhu Hassan.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk.
Jakaya Kikwete akizungumza na Mh. Rais John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais
Mh.Mama Samia Hassan Suluhu, Kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim
Majaliwa.
Baadhi ya
wasanii wa Bongo Move waliohudhuria katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa
Namfua mjini Singida.
Makamu wa
Rais Mh.Mama Samia Hassan Suluhu akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana, pembeni ni Mh. Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.
Wananchi na
wanachama wa CCM waliohudhuria kwenye sherehe hizo.
Yamoto bendi
wakifanya yao.
|
Badhi ya
Wananchi mbalimbali wakifuatilia yanayojiri ndani ya uwanja wa Namfua mkoani
Singida hivi sasa.
|
|
Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akimkaribisha Rais Dkt John Pombe
Magufuli mapema leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, kwenye kilele cha
maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM mkoani Singid,pichani kati ni Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana.
|
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
alipokuwa akiwasilia mapema leo asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua,mapema leo
asubuhi ndani ya uwanja wa Namfua, kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya
kuzaliwa CCM mkoani Singida.
PICHA NA
MICHUZI JR-MMG-SINGIDA.
|





No comments:
Post a Comment