EPL 2015/2016 RATIBA:-Ipo tena dimbani Jumanne na Jumatano Usiku kwa Timu zote 20. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 29, 2016

EPL 2015/2016 RATIBA:-Ipo tena dimbani Jumanne na Jumatano Usiku kwa Timu zote 20.

Kesho Jumanne  na Jumatano Usiku kwa Timu zote 20 kushuka Uwanjani ambapo Vinara wa Ligi kuu,Leicester City Jumanne,Machi Mosi,2016 watakuwa kwao kucheza na West Bromwich Albion.

Mechi nyingine ni ile ambayo iko Old Trafford wakati Manchester United, wakitoka tu kuitwanga Arsenal bao 3 -2 Jumapili, watacheza na Watford United.

 LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016 RATIBA.

Jumanne Machi 01,2016.

[Mechi zote kuanza 2245]

Aston Villa v Everton             

Bournemouth v Southampton        

Leicester v West Brom          

Norwich v Chelsea      

Sunderland v Crystal Palace           

Jumatano Machi 02,2016.

2245 Arsenal v Swansea                

2245 Stoke v Newcastle                 

2245 West Ham v Tottenham        

2300 Liverpool v Manchester City              

2300 Manchester United v Watford

Jumamosi Machi 05,2016.

1545 Tottenham v Arsenal

Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630  Or  +255756830214.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad