|
Bw. Raballa
aliongeza kuwa ” Wateja watatakiwa kuweka fedha katika akaunti yoyote ya NMB
kiasi cha chini kikiwa ni Shilingi elfu hamsini (50, 000) ili kupata nafasi ya
kushinda na zaidi uwekavyo fedha utapata nafasi zaidi ya kushinda. Wateja
wanaweza kuweka fedha kupitia tawi letu lolote, NMB Wakala na NMB mobile.”
Promosheni
hii itakuwa na droo za kila mwezi ambapo tawi husika la benki ya NMB
litawasiliana na washindi 24 kila mwezi kuzungusha gurudumu la bahati katika
matawi yaliyochaguliwa na NMB.
NMB imetenga
jumla ya shilingi milioni 300 kushindaniwa. Washindi 144 ambao ni wateja wa
zamani na wapya wanaweza kushinda hadi shilingi 3,000,000/= kila mmoja; jumla
ya washindi 24 watabainishwa kila mwezi kwa kipindi cha miezi sita.
|
Friday, February 26, 2016
CHANGAMKIA FURSA:-Benki ya NMB Yazindua Promosheni ya ''Pata Patia''
Tags
# DONDOO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
DONDOO
Labels:
DONDOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.





No comments:
Post a Comment