MATUKIO PICHA:-Waziri Mkuu Tanzania Kassim Majaliwa aongoza Mkutano wa Wabunge Dodoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 23, 2016

MATUKIO PICHA:-Waziri Mkuu Tanzania Kassim Majaliwa aongoza Mkutano wa Wabunge Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah.
Wabunge, Jenista Mhagama wa Peramiho (kushoto) na January Makamba  wakiteta katika mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma. 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Gerge Masaju akitoa mada katika mkutano wa wabunge , Bungeni mjini Dodoma Januari 22, 20167. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. 
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah. 
Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiongea  na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. Picha na Ofisi ya waziri Mkuu.
 
 Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad